send link to app

TaxiBubu Riders (Abiria)


4.4 ( 1024 ratings )
Navigation Reisen
Entwickler TaxiBubu Company
Frei

KISWAHILI: Programu hii imetengenezwa kusaidia kupunguza idadi ya watu kwenye usafiri wa umma ambapo tumeona mabasi ya umma yakiwa yamejazwa abiria mpaka mlangoni wakati watu wenye magari magari binafsi wanasafiri njia hiyohiyo wakiwa na magari matupu yasiyo na abiria! ABIRIA anapaswa kufika KITUO CHA BASI au STENDI ya mabasi iliyopo karibu naye, kisha kuandika mahala anapoelekea kwenye programu halafu atamchangua DEREVA anayepita njia hiyo hiyo au anayeelekea sehemu karibu na aendako. Vilevile ABIRIA ATASHUKA kwenye kituo cha basi kilichopo karibu na mahala aendako bila kusahau kufanya malipo. Ni matumaini yetu kuwa kupitia programu hii, tutaweza kutengeneza jukwaa ambalo madereva na abiria watafaidika bila mmoja kumuumiza mwenzie au bila kumdhuru mtu mwingine. Safari Njema.